Haji Manar "Hatulalamikii Waamuzi Tunawakumbusha Tu"

Kupitia Mkutano na waandishi wa Habari leo Feburuari 8, 2022, Msemaji wa Klabu ya  Haji Manara amesema kuwa Klabu yake na viongozi hawatoi malalamiko kwa Waamuzi ila huwa wanafanya hivyo kuwakumbusha tu.

Haji Manara amesema kuwa Wajibu wao ni Kukumbusha tu, ila sio kupeleka malalamiko kwa Waamuzi kwa kuwa Klabu yao ina mashabiki na wanaona kuwa Haki Haitendeki na wao kazi yao ni Kusema kwa kuwa ndio Kazi ambayo wameichagua.

“Nilisema kuwa hatuchezi ligi hii kuwa unbeaten tunacheza kuwa champion, Sisi ni klabu ya mpira lazima tutafungwa. Ni wenzetu tu ambao wanaamini wakifungwa wamehujumiwa.

“Sisi tunajua hii ni klabu ya mpira lazima kuna siku utapigwa.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii