Misri watinga fainali AFCON, ni vita ya Mo Salah Vs Sadio Mane

Mafarao wa Misri wamefanikiwa kutinga hatua ya fainali baada ya kutoka sare dhidi ya wenyeji Cameroon dakika 90 na zile za nyongeza na hivyo mchezo huo kuamuliwa kwa matuta,

Sasa Misri ya Mo Salah inakwenda kukutana na Senegal ya Sadio Mane ambao wachezaji hawa wawili wote wanaitumikia klabu moja ya Liverpool kutoka Premier League ya England

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii