Chelsea imethibitisha kumsajili mchezaji, Cole Palmer kutokea Manchester City.
Kiungo huyo Mshambuliaji amejiunga na The Blues kwa dau la paundi milioni 42.5 kwa kandarasi ya miaka saba.
Manchester United imesajili Beki, Sergio Reguilon kwa mkopo kutokea Tottenham.