Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha bora kwa timu za Wanaume kwa msimu uliopita baada ya kuiwezesha timu yake kutwaa Ubingwa
Aidha, Mshambuliaji wa timu hiyo, Erling Haaland ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume kwa msimu uliopita. Alikuwa Mfungaji Bora akiwa na Magoli 12.