Wasanii kutoka nchini kenya ambao wamekuwa wakifanya vizuri kwa kipindi kirefu na kwa mara kadhaa wamekuwa wakifanya muziki wao kama kundi n ahata walipofanikiwa kuanza kufanya muziki kila mmoja kuwa na solo projets jambo ambalo lilifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kutoka kwa kwani kila msanii wa kundi hilo alifanikiwa kuachia kazi zake binafsi akiwema fancy fingres,bien,chimano Pamoja na savara.
Baada ya kundi hili lamuziki kulazimika kuachia kazi zao binafsi nje ya kundi wasanii hawa kwa nafasi kubwa wamefanikiwa kufanya vizuri kwa kila mmoja huku ikiwa wasiwasi kwa mashabiki kama wasanii hawa watarejea tena kufanya kazi kama kundi.
Sauti sol walifanikiwa kutoa taarifa mbalimbali kuhusu kufanya kazi ikiwemo kutoa album yao ya Pamoja kama kundi baada ya muda wa kila mmoja kufanya kazi zake binafsi.
Sasa kufatia hayo yote taarifa hii inaweza kuwa jibu sahishi kwa mashabiki wa kundi hili maarufu la muziki kutoka nchini kenya.
Sauti sol wametoa taarifa hii kwenye mitandao yao ya kijamii na kuweka wazi kuhusu safari ya ziara zao za kimuziki huku taarifa hiyo ikibainisha kuwa baada ya kumalizika kwa ziara hiyo,kundi hilo halitafanya kazi Pamoja ten ana kila mmoja atafanya kazi zake binafsi.