Mama Wa AKA Azungumza

Miezi miwili tangu kifo cha ghafla cha msanii wa Afrika Kusini, Kiernan Jarryd Forbes maarufu kama AKA, familia yake imezungumzia nyakati zao za mwisho kabla ya tukio hilo ambalo limewaacha na makovu ya maumivu mioyoni mwao.

Katika mahojiano maalum na ya kipekee na jarida la You la nchini Afrika Kusini, Lynn Forbes alinafichua kwamba mara ya mwisho walikuwa na mazungumzo na mwanawe AKA ambayo yalifanyika asubuhi ya Februari 10, siku ambao baadaye jioni AKA aliuawa katika mgahawa mmoja huko Durban kwa kupigwa risasi jioni yake.

Siku hiyo, Lynn na dada yake walikuwa wakifunga safari kuelekea sehemu moja na alikuja kumuaga mama yake

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii