Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido Rasmi Ameachia Album yake

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Davido Rasmi ameachia Album yake mpya ya #TIMELESS baada ya kukaa kimya kwa muda, ndani ya Album hiyo yenye ngoma 17 Mastaa kama #Asake #Focalist #Musakeys #Skepta na Wasanii wake wawili wa lebo ya #DMW #Morravey na #LogosOlori na wengine wamehusika, Ali Kiba hayupo kwenye list hiyo kama ilivyosemekana Mwanzo baada ya fake album Cover kuenezwa mitandaoni

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii