Kimenuka..Sheikh Majini Amtaka Diamond Platnumz Kuondoka Katika Dini ya Uislam Kisa Bibilia"

“Kama Uislamu Umekushinda Ondoka nenda kwenye Dini inayokufaa tuachie Waislam Dini yetu, Hii ni Dini ya Mwenyezi Mungu” – Sheikh Shareef Majini amefunguka kwenda kwa Diamond Platnumz

Hii ni Baada ya Diamond Kuonekana akiombewa na Mchungaji Fulani & Kusoma Biblia Kitabu cha Mathayo 28:6 katika uzinduzi wa Album ya Christiana Shusho usiku wa Tarehe 08 April 2023

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii