Abigail Chams "Wasanii Wananitongoza Sana"

Abigail chams amekiri kuwa wasanii wamekuwa wakimtongoza lakini yeye anachukulia ni kawaida na ni asili ya mwanadamu akimuona binti mzuri basi atajaribu bahati yake.

Hata hivyo Abigail amesema kuwa huwa anawaambia kuwa havutiwi na mambo hayo kwa sasa kwani ameamua ku-focus na muziki wake pamoja na shule.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii