Paula Kajala Ameolewa

Supastaa kajala frida ametangaza binti yake Paula ameolewa yaani paulah kajala kwa sasa ni mke wa mtu.

Posti hiyo ya Kajala ambayo imewashangaza wengi mtandaoni, hata hivyo kuna wengine hawaamini kama ni ndoa kweli. Kwa mujibu wa kile kilichoandikwa na Kajala, Paula amefunga ndoa ya Kiislamu na ameolewa na mtu aliyetajwa kwa jina la Ally.

"Mungu akutangulie katika maisha yako haya mapya dada pau ukawe mke bora na sio bora mke ,Mrs ALLY" - Ameandika @kajalafrida akimtakia @therealpaulahkajala maisha mema ya ndoa.Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii