Tetesi za soka Ulaya Alhamisi 30.12.2021

Borussia Dortmund wanatazamia kuweka pamoja mpango wa kujaribu kumshawishi mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland kusalia nao, huku mustakabali wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 katika klabu hiyo ukitarajiwa kuamuliwa mwishoni mwa Februari. (Bild, via Mail)

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii