SIMBA WATAMBULISHA JEZI MPYA.

Saa chache Mara baada ya wekundu wa msimbazi Simba kumtambulisha Ahamed Ally Kama msemaji wao mpya vilevile  Klabu ya Simba imezindua jezi mpya zitakazotumika kwenye michuno ya Mapinduzi na Azam Sports Federation Cup (ASFC)

Hivyo basi Wenda jezi hizi zikaanza kutumika katika mchezo wa kesho kutwa jumatano Simba dhidi ya Selem View katika michuano hiyo ya mapinduzi inayofanyika visiwani Zanzibar.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii