Hawa ndio wasanii wanaohitaji kiasi kikubwa Cha fedha ili kufanya Nao kolabo

Katika orodha iliyotolewa kwa rapa wa Marekani wanaochaji kiasi kikubwa cha fedha ili uwashirikishe, Wakongwe wawili Jay Z pamoja na Kanye West imeelezwa kuwa wao wanachozingatia ni heshima na msanii husika pia mahusianno lakini kikubwa zaidi wanazingatia kile ulichoimba kwa maana kwamba ubora wa wimbo wako.

Jay Z kweye mahojianno yake na Kevin Heart kwenye ‘Hart to Heart’ ajibu swali hilo na kusema yeye hatozi hata senti moja kwa msanii yoyote akitaka kumshirikisha bali annachjozingatia ni heshima na msanii husika lakini pia aina ya wimbo anaoshirikishwa.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii