LUKAKU AONDOLEWA KWENYE ORODHA YA KIKOSI EPL LEO DHIDI YA LIVERPOOL.

Chelsea wamemuondoa Mshambuliaji wao Romelu Lukaku katika list ya wachezaji watakaowatumia katika mchezo wa EPL leo dhidi ya Liverpool.

Sababu hasa ya kufanya hivyo haijawekwa wazi ila kwenye mahojiano ya Lukaku na Sky Sports yaliyoruka Alhamisi hii alieleza kuwa hafurahishwi na namna anavyotumiwa Chelsea angependa kurejea Inter Milan siku za usoni.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii