Aliyekuwa mke wa hajismanara , rushaynah ametua Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kuongea na waanishi wa habari.
Mrembo huyo amefika katika eneo hilo akiwa na walinzi.
Rushayna hajaonekana hadharani kwa muda mrefu toka sakata la kuachana na aliyekuwa mume wake Manara.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii