msanii Ruby ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito.

Mwimbaji nyota wa muziki nchini, msanii Ruby ameuthibitishia uma kuwa yeye ni mjamzito. @iamrubyafrica ame-share picha hiyo inayoonesha ukubwa wa tumbo lake kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii.


Hitmaker huyo wa #TaiChai anategemea kupata mtoto wake wa pili baada ya binti yake wa kwanza aliyempata na mwimbaji Kusah.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii