Mbosso Apata Ajali ya Gari Marekani

Mbosso Amenusurika Kifo baada ya Kupata Ajali huko Marekani, Kupitia ukurasa wake wa Instagram Staa huyo ameshare video zikionesha gari alilokuwa amepanda likiwa limeharibika upande huku akisema kuwa ndio upande aliokuwa amekaa na Gari lilikuja kugonga upande huo huo.


Mbosso amewahakikishia Mashabiki zake kuwa yupo sawa licha ya kuwa na Maumivu kwenye Bega,Mbavu na Uti wa Mgongo
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii