Mwambaji Beyonce Avunja Rekodi Tuzo za Grammy

Baada ya kushinda tuzo ya Albamu Bora ya Muziki ya Dansi/Elektroniki, @beyonce sasa anashikilia rekodi ya wakati wote ya ushindi mwingi wa #Grammy @recordingacademy rekodi ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Sir George Solti hapo awali, Queen Bey sasa amempita mkongwe huyo kutokana na rekodi yake kuu ya 2022, RENAISSANCE. Akiwa na tuzo 32 za GRAMMY sasa katika kabati lake la kuhifadhia tuzo @beyonce ndiye msanii anayeongoza kuwa na tuzo nyingi za #Grammy duniani.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii