Diamond aomba Mtoto wa Hawa aitwe Nasibu

Usiku wa kuamkia leo katika Hoteli ya Ramada, staa mkubwa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amefanya bonge moja la shoo ambayo ilisheheni ubunifu wa hali ya juu, na kukonga mioyo mashabiki waliohudhuria.

Kwenye shoo hiyo Diamond alimpandisha stejini Hawa wa ‘nitarejea’ ambapo Daiamond alifichua kuwa kuwa Hawa ni mjamzito na kuomba mtoto atakayezaliwa kuitwa Nasibu


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii