Nay wa Mitego atoa nyongo Kwa Babu Tale na Salam SK

Msanii wa bongo fleva Nay wa Mitego amewaomba wasanii wenzake waache kulalamika sana.

"Hivi Msanii Unaanzaje Kulaumu Kutokuwepo Kwenye Top Ten Ya Mtu Kama Sallam Au Babutale. Mtu Mwenyewe Ana Wasanii Wake Kawaweka Juu Kwenye Iyo Chart Na Dunia Inajua Hawajafanya Vizuri, Unaanzaje Kulalamika Au Ku Mind? Jifunzeni Kupuuza Ujinga Ndugu Wasanii. wananchi Wanajua Mtaani Nani Kafanya Vizuri Huu Mwaka''

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii