I think mmeshajulika kama nilazima mchokenolewe, Ndio mfunction ,ili jambo lenu liende .
Nilitamani kumwambia Njomba kimbulu asiwachokunoe maana mtakua mmekamilisha malengo yenu kwabahati mbaya Njomba Hajawagundua ila mimi nawajua vizuri for your
Sisumbuki tena
Najua hata hiki nilicho kiongea hapa kitawasaidia kwasababu mimi ni KING
wenu tena maana msije mkasema waporini wakati ni wewe ndio waporini
Tena mmekaa kikao kujadiri na kurank wasananii
WHO ARE YOU? Nitaongea jambo lenu likiisha
Haya sasa nadhani nimewachokunoa vyakutosha tena kwa malengo mnayoyataka have nice show .