Wanasheria wa Kanye West Wamchoka..Wamtema Kupitia Gazeti

Timu ya Wanasheria wa Kanye West wamepanga kutumia njia ya Gazeti kumfikishia taarifa rapa huyo kuwa wamemtema rasmi na hawatamuwakilisha tena kwenye masuala yake ya Kimahakama.

Kwa mujibu wa TMZ, timu hiyo ya Wanasheria imesema kwamba, kumekuwa na tatizo la mawasiliano kati yao ambapo YE ame-deactivate namba yake ya simu ambayo walikuwa wakiwasiliana naye awali.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii