Haji manara aweka wazi kuachana na mke wake mdogo

Mdau wa michezo hajismanara ametoa ya moyoni juu ya kuachana na aliyekuwa Mke wake mdogo rushaynah.

Haji amekiri kuachana na Rushayna na ameweka wazi kuwa hayupo tayari kuanika mabaya ya Rushaynah hata kama yeye amechafuliwa .

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii