Tetesi za soka Ulaya Jumatano 29.12.2021

Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. Mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 na timu hiyo ya Ligue 1 unamalizika msimu wa joto (CNN)


Winga wa Leeds United Raphinha amekuwa akihusishwa na Liverpool na Bayern Munich, lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 25 hatashinikiza kuhama mwezi Januari. (Mirror)


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii