Msanii wa bongo rap Jay Moe akataa kufanya muziki aina ya amapiano kulingana na kuwachanganya mashabiki.
msanii huyo ameeleza kuwa wasanii wa rap pindi wanaporap kwenye biti za amapiano zinaondoa uhalisia wa muziki wa rap.
pia msanii huyo anaerap kupitia biti za ampiano hata anapotaka kurudi kwenye rap ya kawaida inakuwa inamchanganya shabiki mana shabiki pindi anapopata ladha mpya na akaipenda hata ukirudi kwenye kufanya muziki wa hip hop wa kawaida anakua hakuelewi.
kati ya wasanii wa 5 walio walianaza kujua amapiano mapema na Jay Moe yupo laniki me staki kuonekana kuwa nafanya tu muziki kama wasanii wengine. alisema Jay Moe