Wafanyakazi Tisa Mbaroni Kifo cha Mtoto wa Davido

Baada ya kifo cha mtoto wa Davido Watu 9 washikiliwa akiwemo Mpishi wa Mtoto huyo wa Staa ,Ifeanyi ambae amefariki katika Swimming pool ya Nyumbani huko Lagos wanashikiliwa na Polisi katika Jimbo la Lagos kwa sababu ya kifo cha Mtoto huyo.

Mtoto wa Staa huyo mkubwa Afrika #Ifeanyi (03) Alifariki katika Swimming pool la nyumbani katika kisiwa cha Banana Lagos Oktoba 31, 2022 siku ya Jana, inasemekana Wazazi wake #Davido na #Chioma hawakuwa Nyumbani walikuwa kwenye ziara.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii