Staa wa muziki kutoka nchini Nigeria, Wizkid ndiye mwanamuziki mwenye tuzo nyingi zaidi kuliko msanii mwingine yoyote Barani Afrika.
Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, Wizkid mkali wa ngoma ya Essence amefanikiwa kushinda zaidi ya tuzo 140 zikiewemo
1 Grammy, 4 BET Awards, 2 American Music Awards, 6 MOBOs, 3 Billboard Music Awards, 2 MTV EMAs, 4 NAACP Awards, 3 Soul Train, 2 iHeart Radio Awards, 5 BMI Awards, 1 MTV VMA, 1 ASCAP, 1 Echo, 1 Teen Choice Award
Wizkid ameshinda pia, 1 Apple Music Award, 1 Cannes Lions Award, 1 iHeartRadio MMVA, 1 Urban Music Award, 1 BreakTudo Award, 1 Amazon Music Award, 17 Headies, 10 AFRIMMA, 8 All Africa Music Awards, 6 Nigerian Entertainment Awards, 5 MTV Africa Music Awards, 5 African Entertainment Awards US.
Msanii huyo wa Nigeria ana tuzo 5 za That Grape Juice Awards, 4 SoundCity MVP Awards, 3 Afro X Digital Awards, 3 Ghana Music Awards, 3 Culture Custodian Awards, 2 Channel O Music Video Awards, 2 Net Honours Awards, 2 Muma Awards, 2 Cool Wealth Awards, 2 Future Awards, 2 City People Entertainment Awards.
Anazo 2 za Dynamix All Youth Awards, two 4Syte TV Music Video Awards, 1 Music Week Award, 1 African Leadership Magazine Award, 1 Sierra Leone Musicians’ Union Award, one 3 Music Award, 1 African Pride Award, 1 South African Hip Hop Award, 1 PlayData Award, 1 AICP Award.
Bila kusahau 1 Daily Californian Art Award, 1 Gnadoe Magazine Award, 1 YNaija Award.
Na hizo ni baadhi ya tuzo ambazo mkali huyu wa muziki kutoka pale Nigeria ameshanyakua zimetulia kwenye kabati na hivyo kumfanya kuwa kinara kwa kuwa nazo jumla ya 14o kwa mujibu wa