Wachezaji wa Saudi Arabia Kuzawadiwa Magari aina ya Rolls Royce Phantom

Wachezaji wa Saudi Arabia watazawadiwa gari aina ya Rolls Royce Phantom baada ya kuifunga Argentina kwenye Kombe la Dunia la Fifa 2022.


Rolls Royce itazawadiwa kwa kila mchezaji mmoja mmoja na Mfalme wa nchi hiyo, na hii si mara ya kwanza kwa zawadi za gharama kubwa kuzawadiwa wachezaji wa nchi hiyo.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii