Rais Samia Afanya Mazungumzo na Waziri wa Fedha wa Qatar leo

Rais Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 5, 2022 amekutana na kuzungumza na Waziri wa Fedha wa Qatar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Katara Hospitality Ali bin Ahmed Al Kuwari, Doha nchini Qatar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Afya wa Qatar Dkt. Hanan Mohamed Al Kuwari mara baada ya mazungumzo yao, Doha nchini Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii