Hatimaye mwili wa marehemu Hellen Wendy Aliyefariki Akiogelea Live Wawasili Kenya

Hatimaye mwili wa marehemu Hellen Wendy Nyabuto (24),binti wa Kikenya aliyefariki kwa kuzama kwenye bwawa la kuogelea nchini Canada umewasili Nairobi leo.

Hellen ambaye alikuwa muuguzi na mwanafunzi alizama maji Agosti 18 jijini Ontario huku akionekana Live kupitia Facebook.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii