TFF YASIKITISHWA NA VURUGU ZA BAADHI YA VIONGOZI WA SIMBA KABLA YA MCHEZO.

Shirikisho la Soka nchini TFF  limesikitishwa vitendo vya vurugu vilivyofanywa na baadhi ya viongozi wa Klabu ya Simba kabla ya mchezo wa Simba dhidi ya Yanga uliofanyika leo majira ya saa kumi na moja katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii