Dakika 45 za kipindi Cha kwanza za mchezo wa watani wa Jadi Simba dhidi ya Yanga zimemalizika Uwanja wa Mkapa kwa timu hizo kutokufungana (0-0).
Bado timu zote mbili zinacheza kwa tahadhari zikifanya mashambulizi ambayo hayajazaa matunda.
Hivi hapa ni vikosi vilivyoanza vya timu zote mbili (Simba vs Yanga).