Nafasi moja itaamuliwa na mchezo kati ya Atalanta na Villareal ulioahirishwa kutokana na hali ya hewa.
Timuzilizopo upande wa kushoto ndio VINARA wa makundi na watakutana na timu kutoka upande wa kulia.
Timu zilizotoka taifa moja na zilizotoka kundi moja hazitakiwi kukutana kwenye hatua ya 16 bora.