Kesho Jumamosi nchi itasimama kwa muda kupisha mechi ya watani wa Jadi Simba wakiwakaribisha Yanga Uwanja wa Taifa Kwa Mkapa jioni majira ya saa 11:00.
Kuelekea kwenye mchezo huo mkali na wa kusisimua JembeniJembe tunakuletea TAKWIMU za timu hizi tangu Msimu wa Mwaka 2017/18.
Vilabu hivi vimekutana mara 8 kwenye ligi kuu tangu Msimu wa Mwaka 2017/18 Simba wakishinda mara 02 Yanga wakishinda mara 02 na michezo minne ikimalizika kwa Sare.
Swali ni Je nani ataibuka Mbabe siku ya kesho???