Club ya Man City imemtambulisha rasmi Erling Haaland (21)
kutokea Borussia Dortmund kwa mkataba wa miaka mitano sasa atakuwa
Etihad hadi 2027.
Kinda huyo raia wa Norway ambaye anafuata nyayo za baba yake aliyewahi
kucheza Man City, hadi anajiunga na Man City amecheza jumla ya mechi 21
timu ya Taifa na michezo 89 ya club akiwa na Borussia Dortmund na
kufunga magoli 86.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii