KANDA YA ZIWA YAPATA WAWAKILISHI MICHUANO YA MAJI CUP


HATIMAYE Michuano ya Maji Cup League 2022 kwa ngazi ya Kanda ya Ziwa imehitimishwa jinini Mwanza na kupata wawakilishi wake watakao kwenda kushiriki kwenye fainali zitakazofanyika mnamo mwezi September mwaka huu 2022 mjini Morogoro.

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii