Utawala wa Jeshi Nchini Mali unaoongozwa na Kanali Assimi Goita umesitisha shughuli zote za vyama vya siasa hadi pale itakapotolewa amri nyingine, ukisema hatua hiyo inalenga kudumisha usalama wa umma . . .
Jaji mmoja wa mahakama ya rufaa ya New York amepinga ombi la Rais wa zamani Donald Trump, la kuchelewesha kesi yake ya jinai ya Aprili 15, wakati akipambana kuondoa kesi hiyo kutoka mji wa Manhattan, . . .
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema suala la kurejesha usimamizi TFDA kwa TMDA bado linaendelea kujadiliwa ndani ya Serikali na litakapokamilika mapendekezo ya utekelezaji yatawasilishwa . . .
Jaji wa Mahakama ya Juu ya Brazil, Alexandre de Moraes, ameanzisha uchunguzi dhidi ya mmiliki wa mtandao wa kijamii wa X, Elon Musk.Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, Musk anatuhumiwa kwa kuzuwia sheria . . .
Watu 28 wameuawa baada ya kushambuliwa na wanamgambo wa RSF katika kijiji cha Um Adam umbali wa Kilomita 150 Kusini mwa jiji kuu Khartoum, kwa mujibu wa ripoti za maafisa wa afya.Mau . . .
Ujumbe wa Hamas uliwasili mjini Cairo kukutana na mkuu wa idara ya ujasusi ya Misri Abbas Kamel, taarifa ya kundi la Hamas ilisema Jumapili.Hamas imesisitiza madai iliyotoa katika pendekezo la tarehe . . .
Vita kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas vimeingia mwezi wake wa 6, huku Marekani na wapatanishi wengine wakitarajiwa kujiunga na wenzao wengine mjini Cairo kujaribu kufikia makubaliano juu ya usiti . . .
Hii leo Aprili 7, 2024 Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kufanyika kwa mauaji ya kimbari, ambapo karibu watu 800,000 waliuawa.Maadhimisho haya yanawadia huku makaburi ya halaiki yakiendelea kugu . . .
RAIS William Ruto amewaambia madaktari wanaogoma kwamba serikali haina pesa za kuwaongezea mishahara na marupurupu huku akiwataka warejee kazini.Akiongea Jumapili, Aprili 7, 2024 baada ya kuhudhuria i . . .
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa anasema anaamini nchi yake na washirika wake wa Magharibi na Afrika "wangeliweza kusitisha" mauaji ya halaiki ya Rwanda, lakini hawakuwa na dhamira ya kufanya hivyo na . . .
Waendesha mashtaka wa Sudan, wanaoshirikiana na mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhane, walifungua uchunguzi siku ya Jumatano dhidi ya Waziri Mkuu wa zamani Abdallah Hamdok kwa tuhuma zinazoadhibiwa na . . .
Senegal itafanya ukaguzi wa sekta za mafuta, gesi na madini, rais mteule wa Senegal Bassirou Diomaye Faye alisema Jumatano katika hotuba kwa taifa kwa njia ya televisheni, huku akiwahakikishia wawekez . . .
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya – DCEA, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama pamoja na wakala wa misitu – TFS, imefanya operesheni katika mikoa ya Shinyang . . .
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa 32 wanachama wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, wanakutana mjini Brussels leo, kujadili uungaji mkono wa Ukraine pamoja na mustakabali wa uhusiano wa jumuiya hiyo na U . . .
Rais mpya wa Senegal ni Bassirou Diomaye Faye, mwenye umri wa miaka 44, mzaliwa wa eneo la Ndiaganiao aliyefanikiwa kuingia madarakani baada ya kupata uungwaji mkono kutoka kwa kiongozi wa upinzani, O . . .
Rais Recep Erdogan amesema leo kuwa Uturuki imo kwenye kipindi cha "mabadiliko makubwa" baada ya upinzani unaopinga utawala wake wa miongo miwili kushinda uchaguzi wa manispaa mjini Istanbul na miji m . . .
Waandishi wa habari wametakiwa kuacha kuiba vitu kutoka ndani ya ndege ya Rais wa Marekani.Hesabu ya vitu ndani ya ndege hiyo- Air Force One- baada ya ziara ya Joe Biden katika pwani ya magharibi ya M . . .
Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) cha Afrika Kusini, kimekishutumu Chama tawala cha ANC kwa kuhusika katika tukio la ajali iliyompata Kiongozi wao Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma aliyenusur . . .
Watu ambao bado hawajafahamika, wanadaiwa kushambulia kwa mabomu makazi ya Waziri Mkuu wa Libya, Abdulhamid al-Dbeibah Machi 31, 2024 tukio ambalo halikusababisha maadhara.Akizungumza kwa sharti la ku . . .
Abigail Loraine Hensel na Brittany Lee Hensel, ni moja kati ya pacha waliopata umaarufu kupitia Tamthilia ya ''Abby & Brittany'' inayorushwa kupitia TLC.Abigail Loraine Hensel anachukua nafasi mud . . .
Elon Musk, Mkurugenzi Mtendaji nyuma ya X, amefanya jukwaa kuwa buzz na sasisho za msingi, kuwatuma watumiaji kwenye msisimko wa msisimko.Pia mwanzilishi, Mkurugenzi Mtendaji na mbuni mkuu wa SpaceX, . . .
Wanajeshi wa Israeli wameendelea kutekeleza mashambulio mazito dhidi ya wapiganaji wa Hamas, pembezoni mwa hospitali kadhaa kwenye ukanda wa Gaza, licha ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja w . . .
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema hali ya usalama mashariki mwa Kongo imezidi kuwa mbaya tangu kufanyike uchaguzi katika taifa hilo lenye utajiri mkubwa . . .
Mamlaka nchini Kenya, zinaendelea kukabidhi miili ya watu waliofariki kutokana na njaa baada ya kupokea maelekezo ya mchungaji mwenye utata Paul McKenzie, aliyewaagiza kufunga hadi kufa ili wakutane n . . .
Rais Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pongezi kwa Rais mteule wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili Machi 24, 2024.“Nawasilisha p . . .
Serikali ya Sudan Kusini inatarajia kufungua Shule juma lijalo, baada ya kuzifungwa kwa wiki mbili kutokana na joto kali lililokuwepo nchini kote.Hatua hiyo, inatokana na viwango vya joto kutarajiwa k . . .
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji alikutana na Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri Msumbiji, Mhe Pascoal Pedro Joao Ronda katika Ofisi za Wizara hi . . .
Gavana wa Florida Ron DeSantis alitia saini sheria inayozuia ufikiaji wa mitandao ya kijamii kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 16 Jumatatu, kwani athari za majukwaa kwa vijana husababisha kuo . . .
Watu wanne walioshtakiwa kwa mauaji kwenye jumba la tamasha mjini Moscow wametambulishwa na mamlaka kama raia wa Tajikistan, baadhi ya maelfu ya watu wanaohamia Russia kila mwaka ni kutoka nchi hiyo m . . .
Mgomo wa wafanyabiashara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, umeingia siku ya nne tangu walipoanza Ijumaa wiki iliyopita wakilalamikia kodi.Kwa mujibu wa wafanyabiashara hao wanadai hawakupewa elimu kuhu . . .