Uhispania yaomboleza siku tatu baada ya ajali kuua watu 68

Uhispania imeanza siku tatu za maombolezo baada ya ajali ya treni kuua watu 68 na kujeruhi wengine wengi. Ni ajali ya pili ya treni za mwendo kasi mwaka huu, inayozua maswali mapya kuhusu usalama wa reli nchini humo.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii