Kuwait imeanzisha mabadiliko makubwa katika kanuni zake za kuajiri
wafanyakazi wa ndani, ikiidhinisha nchi 10 pekee kama vyanzo vya ajira huku
ikipiga marufuku kuajiri kutoka kwa nchi zingine 27, kulingana na ripoti za
vyombo vya habari vya ndani.
Waraka huo, uliotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani, unalenga kudhibiti
sekta ya kazi za ndani, kuongeza usimamizi, na kurahisisha ajira. Kulingana na
Gulf News, hatua hiyo inafuatia mapendekezo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje,
Wizara ya Afya, na Mamlaka ya Umma ya Nguvu Kazi.
Mataifa yaliyoruhusiwa
South Africa
Benin
Senegal (Male only)
Eritrea
Ethiopia
Philippines
Sri Lanka
India
Vietnam
Nchi zilizopigwa marufuku Africa (26 countries)
Kenya, Uganda, Nigeria, Togo, Malawi, Chad, Djibouti, Niger, Guinea, Guinea-Bissau,
Cabo Verde, Sierra Leone, Liberia, Mali, Burkina Faso, Gambia, Cameroon,
Equatorial Guinea, Central African Republic, Madagascar, Republic of the Congo,
Democratic Republic of the Congo, Rwanda, Burundi, Angola, Senegal. Asia.