NAJMA GIGA AONGOZA KIKAO CHA BUNGE DODOMA

Mwenyekiti wa Bunge, Najma Giga, ameongoza Kikao cha Tano cha Mkutano wa 3 wa Bunge la 13 leo Aprili 9, 2026 jijini Dodoma.

Katika kikao hicho, wabunge wameendelea kujadili makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2026/27.

10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii