Lissu atimiza siku 365 sawa na mwaka Mmoja akiwa gerezani

Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ametimiza siku 365 tangu kukamatwa na kuwekwa gerezani kwa tuhuma za uhaini na uchochezi.


Katika kuadhimisha siku hiyo, Chadema wameandaa mjadala wa wazi kujadili mustakabali wake, huku wadau wa siasa ndani na nje ya Tanzania wakitoa wito kwa nchi za Afrika Mashariki kuimarisha demokrasia.

Itakumbukwa kuwa Tundu Lissu alikamatwa na kuwekwa gerezani  Aprili 9, 2025, tukio lililoashiria mwanzo wa kipindi chake cha gerezani kilichoendelea kwa mwaka mzima.

10YrsJembefm  #Familiamoja #AhsantekwaTime

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii