Rais wa Marekani, Donald Trump, ameikosoa jumuiya ya kujihami ya NATO kwa kile alichosema ni kushindwa kusaidia Marekani na Israel katika mashambulizi dhidi ya Iran.
Amesema wakati alipokutana na Katibu Mkuu wa NATO, Mark Rutte, mjini Washington, Trump alisema kuwa amevunjika moyo na kukatishwa tamaa na ukosefu wa ushirikiano.
Ingawa kwa upande wake Rutte, alisisitiza kuwa mataifa ya Ulaya yamechangia katika mipangilio ya kijeshi na uratibu wa ndege za ziada.
Ambapa mkutano huo ulijikita pia katika kufungua mlango bahari wa Hormuz na kupunguza hasira ya Trump, huku Ikulu ikionyesha uwezekano wa Trump kuondoka katika NATO.
10YrsJembefm #Familiamoja #AhsantekwaTime