"Happy boyfriend day "sema neno moja kwa umpendae

Dunia leo inaadhimisha Boyfriend Day, siku maalumu inayotambuliwa kila mwaka tarehe 3 Oktoba kwa ajili ya kuwakumbuka na kuwasherehekea wanaume waliopo kwenye mahusiano na wanawake.

Leo ndiyo siku tunajua nani boyfriend, nani kiki tu

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii