Mchuuzi aliyepigwa risasi na polisi katika maandamano angali hai, familia yathibitisha

BONIFACE Kariuki, mchuuzi wa barakoa aliyepigwa risasi na afisa wa polisi wakati wa maandamano jijini Nairobi Jumanne, angali hai, familia yake imesema.
Babake, John Kariuki alisema mwanawe alipigwwa risasi kichwani juu ya sikio…

Habari zaidi zinafuata....

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii