Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku wa kuamkia usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2025 katika eneo la Mlima Iwambi mkoani Mbeya.
Kwa mujibu wa mashuhuda, ajali hiyo imehusisha lori lenye namba za usajili T148 CID lililokuwa limebeba shehena ya unga ambalo limeligonga gari dogo la abiria.