Viongozi wa Chaumma katika maandamano kuelekea uwanja wa Furahisha

Viongozi na wanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) wakiwa katika maandamano kutoka Buhongwa kwenda Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza ambapo watafanyika uzinduzi na operesheni ya C4C ‘Chaumma 4 Change’ leo Jumanne Juni 3, 2025.

Miongoni mwa viongozi wa chama hicho waliopo kwenye maandamano hayo ni Naibu Katibu Mkuu-Bara, Benson Kigaila, na viongozi wengine mbalimbali waliohudhuria katika kampeni hiyo.
Ili kupata taarifa zaidi endelea kutufuatilia kupitia website yetu ya www.jembenijembe.com kupitia Instagram ,Facebook, tikok,x zamani twitter pamoja na YouTube 

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii