Rais Dkt. Samia Akabidhi Vikombe Kwa Washindi Wa Michezo Katika Sherehe Za Mei Mosi Singida

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekabidhi Zawadi ya Vikombe kwa Washindi wa michezo Mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Kitaifa yaliyofanyika Viwanja vya Bombadia Mkoani Singida leo Mei 01, 2025.


Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii