WANACHAMA WA CHADEMA MBEYA WAKO TAYARI KWA MAANDAMANO

Wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Mbeya tayari wanejikusanya maoneo ya Mbalizi mkoani humo wapo tayari kuanza maandamano. Maandamano hayo ambayo yataongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe.



Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii