Kinana Awasili Ruangwa, Kuwa Mgeni Rasmi Mkutano Wa CCM Wa Wilaya

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewasili wilayani Ruangwa kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine, atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Chama wa wilaya hiyo.

Kinana amewasili wilayani humo Januari 1, 2024 akiambatana na viongozi mbalimbali wa chama wakiwemo baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC).

Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii