Moto ambao bado chanzo chake hakijajulikana, Umezuka Kariakoo Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 1, 2023 na Kuteketeza baadhi ya Majengo ya Maduka likiwemo jengo la Big bon
Zimamoto waendelea kupambana tuzima moto!
Moto mkubwa ambao umetokea mapema leo asubuhi Kariakoo jijini Dar Es Salaam bado unaendelea kusambaa huku jeshi la Zimamoto likiendelea kukabiliana nao.
Pata Habari Kupitia Mitandao Yetu Ya Kijamii